makabila kwaya
Makabila
Kwaya ya Makabila ilianzishwa mwaka 2000.Kwaya Kuu ni mwanachama wa Umoja wa Kwaya za Uinjilisti na Uamsho jimbo la Kaskazini (UKUU) na Umoja wa Kwaya za Uinjilisti na Uamsho wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani (UKUD).
- LENGO KUU LA KWAYA
- MALENGO MENGINE YA KWAYA
- Kueneza Neno la Mungu kwa njia ya nyimbo ,mahubiri na michezo ya kuigiza
- Kushirikiana na vikundi mbalimbali vya kiroho ndani na nje ya Usharika
- Kujenga vipaji katika Nyanja tofauti ndani ya Kwaya
- MATOLEO YA ALBUM
- Album ya Kwanza
- SIFA ZA KUJIUNGA NA KWAYA
- Uwe Msharika wa Kimara
- Uwe na Jumuiya pamoja na Namba ya Ahadi ya Usharika.
- Uwe na umri kuanzia miaka.
Kuhubiri Injili ili kusaidia watu wengi kuletwa katika nuru ya nguvu za Mungu na matumaini ya wokovu na Uzima Milele.
SIKU | SHUGHULI | MUDA |
Jumanne | Mazoezi | Jioni saa 12:30-02:00 usiku |
Alhamisi | Mazoezi | Jioni saa 12:30-02:00 usiku |
Jumamosi | Mazoezi | Jioni saa 10:00-1:00 usiku |
NB: Ratiba ya Mazoezi inaweza badilika kutokana na majira na matukio
- Jina La Mwenyekiti - Mwenyekiti wa Kwaya
- Jina La Makamu - Makamu Mwenyekiti
- Jina La Katibu - Katibu
- Jina La Naibu - Naibu Katibu
- Jina La Mhazini - Mhazini
- Jina La Msaidizi - Mhazini Msaidizi
- Mwalimu wa Kwanza
- Mwalimu wa Pili
- Namba: 25570000000 / 25550000000
- Barua Pepe: