diaspora
Diaspora
Kwa wale walioko diaspora (nje ya Nchi), tunakualika kushiriki nasi katika ibada na huduma kupitia Zoom. Tafadhali tuma taarifa zako kwa barua pepe huduma@kkktkimara.or.tz zikiwa na:
- Jina lako
- Nchi unayoishi
- Shughuli unayofanya
Tunakutarajia katika ushirika wa pamoja wa kiroho! Karibu sana.