Uongozi
Uongozi wa KKKT Kimara
Usharika wa KKKT Kimara umeongozwa na wachungaji takribani kumi na moja (11) tangu kuanzishwa kwake. Mwinjilisti wa kwanza kuhudumia usharika huu alikuwa Mwinjilisti Shemsanga.
Kwa muda wote, usharika umekuwa ukitekeleza mipango mkakati inayolenga kufanikisha malengo ya Jimbo la Mashariki na hatimaye Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
Katika kipindi cha miaka 15 (2009–2023), Baraza la Wazee likiongozwa na Mwenyekiti wake, Mch. Mastai, pamoja na Mchungaji mwenza wa sasa, Mch. Maseghe, limefanikiwa kufanikisha mambo mengi kwa kushirikiana na watumishi wengine wa Usharika.
Inakadiriwa waumini mia moja (100) huongezeka kila mwaka, kiwango kinachoweza kuanzisha usharika mpya kila mwaka.
Saraphina Pallangyo
MHASIBU
Ernestina Ernest Mangweshi
KATIBU WA JUMUIYA
James Redson Lyimo
MWENYEKITI WA JUMUIYA
Ivan Mwaipaja
KATIBU WA JUMUIYA
JUDITH ABEL MRETA
MWENYEKITI WA JUMUIYA
Neema Jonathan Mmbando
MHASIBU
Benard Urassa
MWENYEKITI WA JUMUIYA
Yohana Lazaro Wanzage
KATIBU WA JUMUIYA
William Eliakira Pallangyo
MWENYEKITI WA JUMUIYA
Hekima Mbululo
KATIBU WA JUMUIYA
Anna Maro
MWEKA HAZINA MSAIDIZI WA JUMUIYA
Agness Daniel Lema
MHASIBU
Goodluck Lewis Lyatuu
MWENYEKITI WA JUMUIYA
Hilton Godfrey Temba
KATIBU WA JUMUIYA
VICENT CHARLES JAWA
MWENYEKITI WA JUMUIYA
Ivan Mwaipaja
KATIBU WA JUMUIYA
AISIMBO MWASHA
MWEKA HAZINA MSAIDIZI WA JUMUIYA
LUSEKELO ANDREW.MWAKAGENDA
KATIBU WA JUMUIYA
John Patrick Tumwimike
MWENYEKITI WA JUMUIYA
Yohana Lazaro Wanzage
KATIBU WA JUMUIYA
PRAYGOD MACHANGE
KATIBU WA JUMUIYA
RICHARD A MKOCHA
MWENYEKITI WA JUMUIYA
Bruno Tarimo
MWENYEKITI WA JUMUIYA
NELSON E KOKA
KATIBU WA JUMUIYA
WILLIAM KYANDO
MWENYEKITI WA JUMUIYA
MERCY JAMES MARIKI
KATIBU WA JUMUIYA
Omega Eliah Mwangono
MWENYEKITI WA JUMUIYA
Elisha Kingu
KATIBU WA JUMUIYA
Julieth Malaki Yongolo
KATIBU WA JUMUIYA
James Chalila
KATIBU WA JUMUIYA
ELIHURUMA WILFTED MARIKI
MWENYEKITI WA JUMUIYA
Hekima Mbululo
KATIBU WA JUMUIYA
Elizabeth John Lyimo
KATIBU WA JUMUIYA
Martin Zakaria Lyimo
MWENYEKITI WA JUMUIYA
EVELYNE MUKAMA
MWEKA HAZINA MSAIDIZI WA JUMUIYA
EVELINE W.LEMA
MWENYEKITI WA JUMUIYA
Theresia Benedict Mvungi
MWEKA HAZINA MSAIDIZI WA JUMUIYA
ROBERT DAMAS SANGA
KATIBU WA JUMUIYA
Heriamini Mghase
MWENYEKITI WA JUMUIYA
ELIESHI ERASTO SLAA
MWEKA HAZINA MSAIDIZI WA JUMUIYA
ADELINE .E. MAKERE
MWEKA HAZINA MSAIDIZI WA JUMUIYA