Mahali: Kituo cha Kulea Watoto cha Jerusalem Home of God's Love for Children (kilichopo chini ya KKKT - DMP Usharika wa Kimara). Kuanzia: 03/11/2026 21:43 Mpaka: 15/11/2026 23:58
Nafasi: Afisa Ustawi wa Jamii Sifa Kuu: Shahada ya kwanza au Diploma katika kozi za kijamii (Social Work), Saikolojia ya jamii, Maendeleo ya jamii (Community Development), au Sosholojia kutoka chuo cha elimu ya juu kinachotambuliwa na serikali.
