Logo

Vikundi

UMOJA WA WAKINAMAMA

Umoja huu umeundwa na wanawake wote katika usharika.

Dira Yetu

Dhima ya kikundi hiki ni kuwa na umoja na mshikamano mkubwa kuweza kuwa mfano mzuri kwa wanaotuzunguka na kuwa na upendo popote tunapokuwa.

Malengo Yetu

Dira ya Umoja wa kina mama ni kuwa kikundi bora chenye kumjua MUNGU nakuwa na miradi yenye tija ya kuweza kusaidia wanawake na mabinti wenye uhitaji.

  • SIFA ZA KUJIUNGA NA UMOJA WA WAKINAMAMA
    1. Awe mama msharika
    2. Mcha Mungu
    3. Awe anashiriki meza ya Bwana
    4. Awe kwenye jumuiya zetu.
    5. Awe amejiandikisha na ana namba ya ahadi n.k.
  • KAZI MBALIMBALI ZA UMOJA WA WAKINAMAMA
    1. Kutembelea wagonjwa
    2. Kutembelea waliofiwa
    3. Kufanya usafi usharikani
    4. Kukutana na mabinti wenye kuhitaji huduma kutoka kwa wanawake wazee
    5. Kupokea wageni toka nje na ndani ya Dayosisi n.k.
  • UONGOZI WA UMOJA WA WAKINAMAMA
  • Cheo Jina Mawasiliano
    Mwenyekiti Merry John 25578900000
    Katibu Neema Joseph 25578900000
    M/Mwenyekiti Sarah Baraka 25578900000