Shalom,
“Tunafurahi kukukaribisha katika tovuti rasmi ya Usharika wa KKKT Kimara. Kwa wale walioko diaspora (nje ya Nchi), tunakualika kushiriki nasi katika ibada na huduma kupitia Zoom. Tafadhali tuma taarifa zako kwa barua pepe huduma@kkktkimara.or.tz zikiwa na: Jina Lako ,Nchi Unayoishi ,Shughuli Unayofanya. Tunakutarajia katika ushirika wa pamoja wa kiroho! Karibu sana. ”
YouTube
Live Ibada
Fuatilia Kalenda za Ibada Zetu Online
Sun 07-April : Ibada Kuu
Wed 10-April : Maombi
Sun 14-April : Uinjilist
Sun 05-May : Ibada Kuu
Wed 25-December : Christmas Day
Thu 26-December : Boxing Day
Wed 01-January : Mwaka Mpya
Fri 18-April : Ijumaa Kuu
Sun 20-April : Jumapili Ya Pasaka
Mon 21-April : Jumatatu Ya Pasaka
Sun 21-January : Kipaimara